About Me

i am swalwhe kiluvia ,i would like to have defefernt frends to share idea

Thursday, November 18, 2010

world trade center

Mnamo tarehe 11 mwezi wa 9 mwaka 2001,shambulio kubwa la hatari katika nyakati za asubuhi kundi la alkaida walitumia ndege ya abiria ilikuwa imebeba wafanyabiashara na na kulilipua  jingo pacha la kituo cha kibishara  cha kimataifa linajulikana kama WTC lilopo katika jiji la New York .

Tukio  hilo lilisababisha watu wote waliokuwepo ndani ya ndege hiyo kupoteza maisha yao nawatu wote waliekuwemo ndani ya ndege hiyo,pamoja na majengo ambayo yamelizunguka jingo hilo wikipedia http://en.wikipedia.org

kwa mujibu wa wa wizara ya afya ya marekani zaidi watu 800 walipoteza maisha yao wakiwemo wahudumu wa zima moto na askari polisi walikuwa wakitoa msaada kwa wanachi

Licha ya shambulio hilo kutokea jingo la WTC-7 halikushambuliwa na ndege yeyote lakini lilionekana kushika moto sehemu chache katika jengo hilo hususan kaskazini mwa jenjo hilo kabla ya kuangakaka. http://911research.wtc7

No comments:

Post a Comment