About Me

i am swalwhe kiluvia ,i would like to have defefernt frends to share idea

Monday, November 15, 2010

mali ya nchi ni watu

Mimi naitwa Swalehe Kiluvia,kazi yangu ni muandishi wa habari , mwenye fani ya uandaji wa , wa vipindi vya radio na televisheni,huusan katika kuandaa makala ya habari na  habari kwa ujumla.

Nimezaliwa mwaka 1972 katika mkoaa wa Arusha uliko kaskazini mwa Tanzania ,amabapo nimepata elimu yangu ya msingi Meru na kumaliza  mwaka 1972 na elimu ya sekondari nimepata katika shule ya sekondari Bondeni mwaka 1991 zilizopo mjini Arusha 

Baada ya kumaliza elimu yangu ya sekondari nilichukua kozi totauti ikiwemo kozi ya uboharia,na baaadae kujiunga na chuo cha uandishi wa Habari cha Time school of journalism [T.S.J]

Baada ya kumaliza masomo yangu nilipata fursa ya kufanya kazi katika vituo mbalimbali vya habari ,ikiwepo Televisheni ya Taifa [T.V.T] ambapo kwa sasa inaitwa T.B.C1 na radio Tanzania [RTD] na baadaye kujiunga na shirika la utangazaji la uingereza BBC.

Hivi sasa nafanyakazi katika Radio Arusha One inayomilikiwa na mtu binafsi kama  meneja mipango.

Kwa kupata kozi  hii ya waadishi wa habari kuhusiana na mtandao wa komputa kwa kanda ya kaskazini ,ulioandaliwa na Missa tan kwa kushirikiana na tasisi ya The Finnish  Foundition for Media,Commonication and Development ,ya finland., ninaitumia katika kuboresha taaluma yangu ya uaandaaji wa vipindi mbalimbali vya makala na habari katika Radio na Televisheni.



No comments:

Post a Comment