
Mangare Maathai ambaye ni muasisi wa taasisi isiokuwa ya kiserikali green belt movement amepata tunzo ya nobel kutokana na juhudi zake za kutetea utawala bora ,kudumisha amani na uhifadhi mzuri wa mazingira nchini Kenya.
Taasisi hii iliasisiwa mwaka 1977 na dakta Mangare Maathai ambaye ni mwanamke wa kwanza mwana mazingira kupata tunzo hii,ambaye aliepata tunzo hii mwaka 2004.
Dakta sio amelenga juhudi za kutunza mazingira nchini humo lakini pia kuwasaidia kina mama wa Afrika ,kwa kuwa wao ndio wanapata dhiki zaidi kutokana na uharibifu wa mazingira kwa kupanda miti lakini pia kwakizazi kijacho.
Juhudi za kutunza mazingira suala la msingi kwa kila mtu hivyo ni vyema kuendeleza juhudi zilizianzisha na Dakta Mangare ili kudumisha juhudi hizi kwa mnafufaa ya waafarika wote na ulimwengu kwa ujumla.
No comments:
Post a Comment